Ni vita Tuzo ya Mchezaji Bora

 

DAR ES SALAAM; SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza wachezaji watano watakaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2024/25.


Wachezaji hao ni Dickson Job, Pacome Zouzoua na Maxi Nzengeli (Yanga), Jean Ahoua (Simba) na Feisal Salum (Azam). Tuzo zitafanyika Desemba 5, 2025 jijini Dar es Salaam.


pande wa viungo bora wanaowania ni Pacome Zouzoua (Yanga), Jean Ahoua (Simba) na Feisal Salum (Azam), huku Golikipa Bora ni  Djigui Diarra (Yanga), Moussa Camara (Simba na Patrick Munthali (Mashujaa FC.


Post a Comment

Previous Post Next Post