Ulega kukagua miradi Mkoa wa Kilimanjaro

 

Na Mwandishi wetu : Iddi Nassoro Rajabu

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega leo tarehe 29 Novemba, 2025 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu katika ofisi za Mkuu wa Mkoa huo.


Katika ziara hiyo, Waziri Ulega atakagua mradi wa ujenzi wa uboreshaji wa barabara ya Arusha – Holili (km 22.3) pamoja na utekelezaji wa miradi ya dharura ya madaraja yanayoendelea Mkoani humo.

Post a Comment

Previous Post Next Post